intel

  1. Younguther

    Kwanin APU za AMZ ryzen ni cheap kuliko intel?

    Ni kwanin kompyuta zenye apu za processor ya intel iwe na gharama zaid ya processor za amd ryzen, wakat specs zngne kama processor speed, ram,rom na generation zko sawa
  2. H

    INAUZWA Nvidia Gt 1030 na Intel core i5 6500 vinauzwa

    Nauza Gpu yangu ambayo nilinunua mwenyewe mpya ya gigabyte gt 1030, inacheza games nyingi za zamani 1080p low setting na games mpya kwa 720P. -Vram 2GB Gddr5 -ulaji umeme maximum watts 30 -inaingia desktop yoyote sababu ni low profile. -ina play video 4K 60fps. Pia ipo processor ya i5...
  3. Mto Songwe

    U.S- CHINA Tech War: China ipo miaka kumi(10) nyuma katika utengenezaji wa Chip " C.E.O wa Intel

    C.E.O wa kampuni ya kiteknolojia ya kimarekani Intel inayo husika na utengenezaji wa semiconductor anasema nchi ya China bado ipo miaka kumi nyuma katika teknolojia ya utengenezaji wa Chip na itabaki kuwa hivyo. Skip to main content Open menu Intel CEO Gelsinger says China is ten years...
  4. Fundi Lyimo

    House4Sale Nyumba inauzwa East Africa Road Arusha (Muriet)

    Habari, kama kichwa cha habari kinavyojieleza... •Nyumba ipo Muriet Mashariki, mita 200 kutoka barabara ya East Africa • Nyumba ina vyumba kumi, (single room) na ukubwa wa eneo ya nyumba ni  mita 20×15. •Nyumba ina umeme na maji yapo karibu ni ya kufuatilia. Bei ni Tsh 35,000,000. Kwa...
  5. thesym

    Mwanzilishi mwenza wa Intel Gordon Moore Afariki

    Gordon Moore amefariki ijumaa 24.03.2023 akiwa na miaka 94. Moore alianzisha intel mwaka 1968 akiwa na mwenzake Robert Noyce. Kabla Moore aliwahi kufanya KAZI kwenye kampuni ya Shockley semiconductor kampuni ya mvumbuzi wa transistor na baadae wakamsaliti kisha kuanzisha kampuni ya Fairchild...
  6. Artifact Collector

    Computer4Sale Nauza laptops Ram 4Gb, ssd 128, processor Intel Celeron sh 390,000/=

    Laptops dell-Ram 4Gb, ssd 128, processor Intel Celeron sh 390,000/= Zipo nyingi kama inavyoonekana kwenye picha
  7. J

    U.S. steps up intel, surveillance after Putin’s nuke threats

    U.S. and allied intelligence agencies are stepping up efforts to detect any Russian military moves or communications that might signal that Vladimir Putin has ordered the use of nuclear weapons in Ukraine, according to five current and former U.S. officials. “We’re watching it more closely,”...
  8. Lady Whistledown

    Kampuni ya kutengeneza Chip za Kompyuta ya Intel Corp kusitisha huduma zake Urusi

    Kampuni ya kutengeneza Chip za Marekani ya Intel Corp ilisema Jumanne kwamba imesitisha shughuli za biashara nchini Urusi, ikijiunga na makampuni kadhaa kuondoka nchini humo kufuatia uvamizi wake nchini Ukraine. Kampuni hiyo, ambayo ilikuwa imesitisha usafirishaji wa bidhaa kwa wateja wa nchini...
  9. micind

    Computer4Sale HP Intel core i7 inauzwa

    Hp Corei7 Ram 4gb HDD 500 Charge 4hrs Bei 480000/= WhatsApp 0684190026 Ipo Mwanza. Nimenunua mwaka Jana September. Haina tatizo lolote nauza kwasababu siitumii tena Edit: SOLD 🚫🚫🚫🚫
  10. Nafaka

    Je, Apple kuanza kutumia processor za ARM kwenye computer zao ndiyo mwanzo wa kuanguka kwa intel?

    Kwa miaka mingi intel amekuwa ndiye kinara wa processors inapokuja suala la Desktop Computers. Kuna kipindi intel alikuwa anashikilia zaidi ya asilimia 75 ya market share ya processor za computer. Lakini kuna hatari mambo yakabadilika. Toka ujio wa smartphones ambazo zinatumia processor zenye...
  11. Nafaka

    intel imeshikwa kubaya na AMD

    Naona review za processor mpya za Ryzen ni kuwa zimeipiga mtama mkali intel mbali kabisa likija suala la gaming. Wataalam wa mambo wanasema kwamba technology ya AMD ni hatari sana na intel bado anahangaika na 7nm kiasi kwamba hata processor alizotoa zilikuwa chache kiasi kwamba wateja wake...
Back
Top Bottom