Habari?
Katikat pitapita mitandaoni na kusoma vitabu tofauti tofauti juu ya hizi mashine za kutotolesha vifaranga nimefanikiwa kutengeneza Moja yenye uwezo wa mayai 33.
Na nimefanya majaribio mara mbili imekuwa na ufanisi wa 100% yaan imetotoa vifaranga 66 kwa awazo zote mbili.
Ili uweze...
Wateja wetu ambao mliweka oda ya incubator za body ngumu [hardboard] za mayai 120,528 hadi 10000 mzigo tayari umefika karibuni mifugo plus mjipatie wahi material ya sasa ni imara na magumu yakudumu.
-Body nzuri na imara yenye uwezo wa kudumu kwa muda mrefu
-Controller yenye uwezo wa kuleguleti...
KWA BEI YA 170,000/=TSH TU TUNAKUPATIA INCUBATOR YAKO YA MAYAI 30 YENYE SIFA YA KUTOTOLESHA MAYAI YOTE BILA KUBAKISHA HATA MOJA.
#SADAKALAWE
●SIFA YA MASHINE YETU YA MAYAI 30
■Inageuza mayai yenyewe.
■Inamfumo wa kupima yai lenye mbegu.
■Inakuja na warranty ya mwaka mmoja.
■Inacontrol joto...
CAM STORE INCUBATORS - KIATAMISHI
MAYAI 60 / TREY 2
BEI 350,000 TU.
SIFA ZA MASHINE ZETU.
KITU CHA ZIADA UTAKACHOPATA KWETU.
■Elimu buree ya kitaalamu ya ufugaji.
■Usimamizi wa mradi wako.
■Utafutiwaji wa masoko
■Mayai ya kutest mashine
■Nakama haitoshi tutakupa zawadi kemu kemu...
TUNAONGEZA AU KUFUNGA MFUMO WA GAS AU MAFUTA YA TAA KWENYE MASHINE ZA KUTOTORESHEA AMBAZO ZINATUMIA UMEME KAMA MFUMO MKUU AU "BACK-UP"
Kwa mahitaji ya kubadilishiwa au kuongezewa mfumo wa kutumia gas katika Incubator yako wasiliana nasi,gharama inategemeana na ukubwa wa. mashine
Pia tunaunda...
Nahitaji automatic rollers/ trays zinaweza kutumika katika incubator, Kama picha invyoonesha.Nahitaji kujua Bei za manunuzi yake zimekaaje kwa Dar es salaam
Nini maana ya Incubator ya mayai? Eggs incubator?
Ni jinsi gani ya kuitumia Incubator kuyapa joto mayai?
Ni kitu gani nifanye kabla ya kuweka mayai ndani ya incubator?
Nini kitatokea nisipogeuza mayai ndai ya incubator mara kwa mara?
Je kuna incubator ambazo zinageuza mayai zenyewe?
Nitajuaje...
Uwezo: 5280 kwa wakati mmoja.
Muda wa matumizi: mwaka mmoja.
Condition: mint
Bei: 3.7m
Location: Dar es Salaam.
Sababu za kuuza: Mimiliki amehamishwa kikazi
Mawasiliano: 0755815174
Wakuu nimekula mayai ya kienyeji nimetosheka, sasa nahitaji niyabadili kuwa vifaranga ili nifuge kuku.
Naomba anaetoa huduma tajwa hapo juu kwa Dodoma anijulishe nimletee mayai anitotoleshee. Ahsante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.