icloud

  1. Hypersonic WMD

    icloud ya iphone yangu imejaa sina hela ya kulipia kuna njia nyingine ya kupata space bila kulipia??

    wakuu nambieni Huu mwaka sitaki kulipa bills za ajabu ajabu.
  2. Mtoa Taarifa

    Apple yafunguliwa Madai ya Tsh. Trilioni 10.19 kwa kulazimisha wateja kutumia huduma za iCloud

    Kundi la watumiaji huduma liitwalo Which? kutoka Uingereza, limefungua madai ya pauni bilioni 3 (zaidi ya Tsh. Trilioni 10.19) dhidi ya kampuni ya Apple, ikidai kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imekiuka sheria ya ushindani kwa "kulazimisha matumizi ya huduma zake za iCloud kwa wateja". Inasema...
  3. Revolution 22

    Msaada wa jinsi ya ku - upgrade icloud

    Wakuu icloud yangu imejaa nashindwa namna ya kuiupgrade mwenye utalamu naomba maelekezo tafadhali
  4. Baba Rhobi

    iCloud Bypass

    Wakuu habari ya nyie naamini mko good kabisa, straight to the point, kuna kimeo hapa cha iPhone SE kina run IOS 14.3 nahitaji kukitoa iCloud lock nimejaribu kuki jailbreak kimekubali issue ilo nileta hapa ni kupata software ya ku-bypass iCloud make kila ninayo kutana nayo inadai kununua hapo ndo...
  5. Travis Walker

    Huduma ya ku bypass iPhone iCloud na Unlocking

    Habari wakuu, Ninatoa huduma ya ku bypass iCloud kwenye iPhone Huduma ni kama ifuatavyo iPhone Bypass (Huduma ina bypass iCloud activation na unaweza kuendelea kutumia simu yako kama kawaida bila kujua email wala password) iPhone Disabled/Passcode (Kama uko na iPhone haujui passcode zake...
  6. A

    Naomba tatuzi kuhusu hili la Icloud (apple id)

    Habari, Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out naambiwa sina apple id kwa maana ya kwamba apple id yangu imeisha futwa. Lakini kwa sasa natumia simu...
Back
Top Bottom