Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani.
Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri.
Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute.
Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi.
GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza?
Unatakiwa uwe na nini na nini?
Na ice cream zinazobaki...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza?
Unatakiwa uwe na nini na nini?
Na ice cream zinazobaki...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza?
Unatakiwa uwe na nini na nini?
Na ice cream zinazobaki...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza?
Unatakiwa uwe na nini na nini?
Na ice cream zinazobaki...
Kichwa cha habari chajieleza,
Anahitajika kijana mdogo na mchapakazi mwenye umri kuanzia 18-20 atakayefundishika kutengeneza bidhaa
tajwa hapo juu, kisha kuzichukua na kuzipeleka eneo la mauzo. ipo mashine ya kutengenezea.
Umri huu wengi hawatumii jf, lkn lengo ni kama wewe mwanajf una kijana...
Aisee hivi mmenotice? Sijui ni hapa tu au ni kote kuwa Ice cream za Azam hazipatikani kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhan kwa hawa wanaotembeza.. aidha sina uhakika na ice cream shops zake sijui kama ziko open. Kama hazi operate, nimejifunza kitu.
Tuwe serious na kumtafuta Mwenyezi Mungu.
Sasa Wewe jifanye unajua sana ' Malavidavi ' na unataka kuonyesha Mbwenbwe zako Kitandani Ufe.
Kwanza kwa Maisha haya Magumu nyie Mabwege mnaopenda sijui Kulamba Ice Cream na Kula Ndizi mkiwa ' Mnabanjuana ' mnaupata wapi huo muda?
Pateni Nakala ya Gazeti la Nipashe la Leo ili mjue mengi zaidi...
Natumai mu wazima wadau,
Katika pitapita zangu mitaani nimeona maduka yanauza Ice cream pamoja na snacks za kutafuna na unakuta pamejengwa mazingira mazuri kuna viti na meza nje watu wanatoka sehem mbalimbali wanakuja kuenjoy na familia zao. Mfano kuna magomeni Ice cream center na nyengine...
If you focus on the SGR project nobody speaks of its economic and financial feasibility. It is just extreme politics; either we know nothing[CHADEMA] or these are strategic projects for the this and next generations of Tanzanians [CCM]. Both positions don't even attempt to address the crux of...
Call/WhatsApp 0788622610
Brand New popsicle machine
Ina tray 2 (40 popsicles each)
Inazalisha pisi 80 kwa dk20
Inauwezo wa kuzalisha zaid ya piece 5000 kwa siku
Bei:3,300,000 only
Ukinunua utafaidika bure na maelezo yote jinsi ya kutengeza Ina warranty mwaka mmoja Tupo Kariakoo
Salam Wakuu,
Ninapenda kujua ni mtaji kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha biashara ya kutengeneza na kuuza icecream.
Mchanganuo huo uhusishe gharama za kununua mashine ya utengenezaji, mashine ya kuhifadhia pamoja na mali ghafi.
Asante kwa msaada.
WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUFAHAMU BIASHARA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.