hitilafu ya ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Kenya Forums Watu watatu wafariki dunia huko Malindi Kenya baada ya kuangukiwa na ndege ndogo iliyopata hitilafu

    Watu watatu akiwemo dereva bodaboda mmoja na abiria wake na mwalimu, wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ndege ndogo, tukio lililotokea katika Kijiji cha Kwachocha, Malindi nchini Kenya. Ndege hiyo iliyokuwa kwenye safari ya kawaida ya mafunzo, inadaiwa kuwa ilipata hitilafu ya kiufundi, na...
Back
Top Bottom