Wanajamvi salaams
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Hisense ninawaza nikanunue.
Nawakaribisha pia kwa ushauri wa TV bora
Natanguliza shukrani
WanaJF,
Poleni na majukumu.
Kama mada inavyosomeka kwenye kichwa cha habari TV ya Hisense imeacha kuonyesha picha na ninahisi kwamba kama bulb zake zimeungua.
Msaada tafadhali kwa mafundi waliopo kwenye group ili niweze kuitumia bila gharama kubwa.
Asante,
Maramojatu
Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video?
Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
Bei ya Tv 1.2m (Fixed Price)
Warranty 3yrs
Used : Imetumika 1 month mpaka sasa.
Milioni 1 na Laki Mbili (Bei haipungui)
ipo Dar es Salaam - Kibanda cha Mkaa.
Bei ya Hisense smart tv
32" - 380,000
40" - 580,000
43"- 650,000
50" - 899,000
55"- 1000,000
58"- 1,200,000
Warranty mwaka mmoja (miezi 12)
Tv mpya dukani karibuni, location Mwenge.
WhatsApp number 0753430357
TV USED lakini naweza sema ni zile USED FROM DUBAI japo ni FROM Tanzania
Tv ni NET and CLEAN safi sana, Uhakika Sana.
Njoo ichukue hiii utaipata kwa bei rafiki kabisa TV ni kama Mpya Ndugu yangu unaetafuta TV (okoa pesa yako)
Ukihitaji Mpya Pia Dukani ipo
HISENSE 55 inch ni 1,150,000 (Bei ya...
naomba kuuliza wakuu nmenunua fridge hisense rd 20 lakn naona mbele kwenye milango kuna rangi ya silver na pembeni kuna rangi flani ya kqma kijivu flan je ndo yanakuag hvo au nimepgwa hapa wakuu
Habari za asibuhi wakuu,
Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake?
Waatalamu wa electronics na wajuzi wengine naomba mnijuze.
Nimejikuta kua mjanja mno lakini hii TV imenifanya niwe mshamba hakika naombeni msaada kwa yeyote mtaalam wakuchezea /mjanja waktumia hii Tv nisaidie Tv inaukubwa wa nchi 43 nimeharibu kuweka flash Tv uko zoom inajaa ila nikiunganisha na kisimbusi picha inabaki kuonyesha Kati Kati naomba...
Hii tv ina miezi michache sana na ili kuamini unapewa na box lake na mazaga zaga yote.
Kwanini inauzwa mapema sana? Kuna mgonjwa yupo hospitali inahitajika hela ya haraka. Bei ya dukani ni 500k
Haina kasoro kama unahitaji nipigie 0625547181
Habari zenu Wana JamiiForums,
TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu.
Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es...
Nauza TV aina ya Hisense LED Flameless kwa bei ya Tshs 270,000
TV hii imetumika miezi 4 tu ba bado ina boksi lake.
Nicheki kwenye namba 0764368588 tufanye biashara
Napatikana Mbezi jirani kabisa na Stand ya Mabasi ya mkoani ya Magufuli Terminal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.