hesabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ileje, Songwe: Hoja 38 za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) tangu 2009 bado hazijajibiwa

    ILEJE: Hoja 38 za tangu 2009 bado hazijajibiwa RC Mgumba ageuka mbogo kwa Baraza la Madiwani. SONGWE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amegeuka mbogo kwenye Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ileje baada ya taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG kuonyesha...
  2. TAMISEMI: Zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu

    Waziri Ummy Mwalimu amesema kuna Shule takriban 1,000 za Sekondari ambazo Wanafunzi hawajawahi kukutana na Mwalimu wa somo la Physics uso kwa uso. Akiwa Bungeni leo, pia amesema zipo Shule zipatazo 400 ambazo Wanafunzi wa Sekondari hawajawahi kuona Mwalimu wa Hesabu akiingia Darasani. Ametoa...
  3. Zanzibar: Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG) akabidhi Ripoti kwa Rais Hussein Mwinyi

    Baadhi ya masuala aliyogusia katika Ripoti hiyo ni kama ifuatavyo: CAG ASHINDWA KUTHIBITISHA MALIPO YA MILIONI 376 KWA MADAKTARI Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Zanzibar, Dkt. Othman Abbas Ali amesema Hospitali ya Mnazi Mmoja imefanya malipo ya Tsh. Milioni 376 kwa ajili ya wito wa...
  4. Mlevi, mzee wa kupiga hesabu baada ya matumizi

    Hakuna siku nzuri kama siku nikiwa natoka kazini huku nikijua kesho yake sintoingia (off), koo huwa inanikereketa sababu ya kiu ya pombe huwa natamani nipae ili niwahi kufika mjini nianze kuzigwida. Mara tu nifikapo town hatua ya kwanza huwa ni kwenye ATM kuvuta mpunga, nikiwa na salio kwenye...
  5. Q

    Mashirika 11 ya Umma hayakupeleka hesabu zao kukaguliwa ikiwemo TANESCO, TTCL, NHIF, Posta na Muhimbili

    Taasisi ambazo hazikuwasilisha hesabu zake kukaguliwa. 1. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili 2. Kampuni ya Mbolea Tanzania 3. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya 4. Mfuko wa UTT 5. Shirika la Magazeti Tanzania 6. Shirika la Posta Tanzania 7. Shirika la Reli Tanzania 8. Shirika la Simu Tanzania 9...
  6. S

    ACT–Wazalendo waichambua Ripoti ya CAG - Aprili 11, 2021

    Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya ACT-Wazalendo UDSM ambapo wamearifu uchambuzi huo utaanza saa sita kamili mchana wa leo. =============== ZITTO AMSHAURI RAIS SAMIA KUUNDA TUME YA MAJAJI KUCHUNGUZA KESI ZILIZOLIPWA KWA DPP Kuanzia mwaka 2017 kumekuwa na kawaida ya watu wanaokamatwa na...
  7. Maoni: Je, ni wakati sahihi wa kuanzishwa ofisi ya mamlaka ya mkaguzi mkuu wa hesabu ya serikali (Controller and Audit General Authority)?

    Ndugu Abbas Mwalimu , anafikiri sasa kuna haja ya kuipandisha hadhi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwa Mamlaka kamili yaani Controller and Audit General Authority (CAGA). Kwa nini anasema hivi? Kwa sababu kwa mtazamo wake, anaamini ikiwa mamlaka kamili...
  8. CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

    CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali. Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni...
  9. Hesabu Zetu Vs Hesabu za Makampuni ya Simu

  10. Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

    Wapambanaji mambo ni vipi, Mwezi unakata hata sijui nifanye biashara gani sababu kila nikicheki biashara ya kufanya sioni. Nilikua najichanga changa mwezi uliopita nikapiga hesabu nikapata million sita na point kazaa ila sasa shida inakuja kwenye kuchagua biashara ya kufanya kwani sipati...
  11. Kwa hesabu za haraka, Stiegler's Gorge itaifanya Tanzania kuipiku Afrika Kusini kiuchumi ndani ya miaka 10

    Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's Gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…