google chrome

  1. buswagg

    Google chrome haifungui website yoyote nikiswitch internet

    Wakuu, nimeshindwa kutatua changamoto ya kijana hapa. Chrome app yake anatumie internet ya vodacom, lakini tangu jana akiingia chrome haifunguki kila website, lakini akiswitch internet akiweka ya Yas, website zote zinafunguka na chrome inafunction vizuri tu kama kawaida, ila akiswitch to...
  2. snipa

    Kesi ya Google; Hatimaye walazimishwa kuiuza Google Chrome Browser kupunguza Monopoly kwenye biashara

    Baada ya muda mrefu kesi iliyokuwa inaikumba Google kwa kuwa moja ya kampuni inayomiliki platform nyingi zinazokusanya data pamoja na umiliki wa Google search engine ambayo imekuwa ikitumika kwenye browser nyingi duniani, kama vile Mozilla Firefox, UCbrowser, Safari, Google Chrome, Operamini n.k...
  3. W

    Kwanini unapaswa kufuta Vidakuzi 'Cookies' vya Kivinjari Chako Mara kwa Mara

    Vidakuzi ni data zinazokusanywa na tovuti unazotembelea na kuhifadhiwa kwenye kivinjari chako, zikijumuisha taarifa kuhusu shughuli zako kama kurasa ulizotembelea na muda uliokaa kwenye tovuti. Jinsi ya kufuta Vidakuzi 'Cookies' vya Kivinjari Chako a. Safari (Mac): Nenda Preferences > Privacy...
Back
Top Bottom