goli bora

  1. T

    Goli Bora la Msimu NBC Premier League

    Mpaka sasa ligi kuu TANZANIA BARA ilipofikia unadhani ni goli gani linapaswa kuwa goli bora la msimu huu wa 2024/2025 Kwa upande wangu goli alilofungwa dijgui diara na SELE BWENZI wa kengold(FULL TIME YANGA 6-1KENGOLD) Yapi maoni yenu wanamichezo
Back
Top Bottom