Habari wana JF,
Naomba nijikite katika hili hivi" kuna siri ipi ya mafanikio juu ya kijana alielelewa na mzazi mmoja hasa mama"? Nimeona watu mashughuli wengi , wana siasa, wafanya biashara wakubwa, wana muziki kama vile Diamond na wengine wengi wamepata mafanikio lakini wakitoa historia yao...