Hamjamboni Watanzania wenzangu
Siku za hivi karibuni, nimekuwa sina furaha, kila nikifungua mitandaoni, Kwenye luninga na sehemu mbali mbali za mitandao nakutana na tarifa za ugaidi zikiwa zinahusisha watu wa upande wa dini yangu tu
Sasa najiuliza, haya mambo ni kweli kabisaa au kuna namna...