fadlu davids

  1. 1

    Kocha Fadlu Davids amevunja rekodi za makocha wote waliowahi kufundisha Simba tangu mwaka 2007

    Kocha huyu ingawa kwangu ananipa mashaka sana kutokana na sub zake lakini haiondoi ukweli kuwa amevunja rekodi ambazo hazijawahi kuwekwa na kocha yeyote aliyewahi kufundisha Simba. Fahdu ameweka rekodi kubwa tatu ambazo mtu yeyote wa mpira anipinge kwa takwimu na sio porojo. 1. Fact ya kwanza...
  2. Waufukweni

    Kocha Simba SC, Fadlu Davids: Jean Charles Ahoua ni mchezaji mdogo sana, tumpe nafasi kujifunza

    Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amewataka mashabiki na vyombo vya habari kuacha kumwekea presha mchezaji wake Jean Charles Ahoua, akisisitiza kuwa kijana huyo bado ana safari ndefu ya kujifunza. "Niliwahi kuwaambia kuwa Jean Charles Ahoua ni Mchezaji mdogo sana kiumri, alivyokuwa anafunga...
  3. Waufukweni

    Hii Simba SC inapikwa nyiee! Fadlu Davids: Tulikipata kikosi tukiwa hata siyo sifuri, bali hasi -5. Haya ni 'Maendeleo'

    Miezi mitatu iliyopita, Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, aliweka wazi kuwa kikosi chake hakikuwa kimefikia kiwango cha ushindani asilimia 100. Alipoulizwa hivi karibuni kuhusu maendeleo ya timu kwa neno moja, jibu lake lilikuwa "MAENDELEO." Akizungumza kwa kina, Davids amesema: "Tulikipata...
  4. Waufukweni

    Fadlu Davids kuhusu Mpanzu: Tutaangalia acheze namba ngapi

    "Mpanzu anaweza kucheza nafasi nyingi. Anaweza kucheza kushoto, kulia, namba 10 na hata namba 9." "Ni mchezaji mwenye ujuzi akibaki na beki mmoja - 1 vs 1. Ana uwezo wa kufunga magoli, na kufanya mikimbio pia kucheza kwenye maeneo yenye nafasi finyu uwanjani. So ni jukumu letu kutafuta nafasi...
  5. OMOYOGWANE

    UTABIRI: Kocha wa Simba Fadlu Davids hana maisha marefu ndani ya klabu, atafukuzwa ghafla kabla ya Pasaka

    Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni. Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza kumuelewa na kutafuta muarobaini wa mbinu zake Kikawaida hupanga mabeki wanne nyuma ambao...
  6. William Mshumbusi

    Simba Kama ilitaka kocha mzungu, Mpenda vijana na mkuza vipaji basi Julien Chevalier wa Asec. Kama ni huyu Fadlu. Bila bahasha tunaweza shuka daraja

    Julien yupo Asec toka 2017. Kila mwaka anauza nyota wote lakini msimu unaofata anakiwasha kimataifa. Kajaza nyota kibao ulaya na Africa. Tunaenda kuchukua kocha mshusha viwango. Aliishusha kiwango Orando Pires wakamfukuza. Akarudi timu ya awali Murtzsburg akaishusha daraja kabisa. Na huko...
  7. ngara23

    Huyu coach wa Simba Fadlu Davids na viongozi wataikwamisha project ya Simba, wana wenge sana

    Nilivomuona sio mtulivu. Au labda hajawahi kuwa coach mkuu popote alikuwa msaidizi huko kote alikotoka, hivi Simba hawakupata cv za coach wa maana Kwa ajili ya project yao? Coach amekuja amefanya pre season na team, wamewaona mastriker wote Mukwala na Fred na akawa ana sifia ati ana team nzuri...
  8. Best Daddy

    Fadlu Davids - The Great Communicator

    Simba wamepita makocha wengi bora katika mbinu, lakini wachache bora katika maelezo, either kuelezea programu zake, hali ya timu, mbinu zake au kuwasilisha jambo lolote. Japo sio sifa ya lazima kama kocha, lakini endapo ukawa mzungumzaji mzuri basi inasaidia zaidi. Fadlu Davids ni moja ya...
  9. William Mshumbusi

    Simba ya Fadlu David leo inaweza kupoteza leo hata kama inacheza na timu ya Dalaja la chini sababu Fadlu sio kocha kiasili ni trainer

    Fadlu David siii kocha kabisa. Fadlu Amekuwa assist coach kwa miaka saba tofauti pale Mutirzburg United South Africa. Kwa kipindi tofauti iliaminika yeye ndio chanzo cha mafanikio pale. Ila kila wakitimua kocha Akiachiwa timu timu inapoteana na kunyanganywa upya baada ya miezi 2 tu mara 5...
  10. Influenza

    Hatimaye Fadlu Davids atangazwa kuwa Kocha wa Simba SC. Hizi hapa takwimu zake

    Klabu ya Simba ya Tanzania imemtangaza rasmi Kocha wa zamani wa Orlando Pirates, Fadlu Davids (43) ambaye ameachana na nafasi yake ya Kocha Msaidizi wa Klabu ya Raja Casablanca kuja kuinoa miamba hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Davids, pamoja na kocha wa zamani wa Orlando Pirates Josef...
  11. H

    Tetesi: Huyu hapa kocha mpya wa Simba SC

    Niko hapa kuthibitisha kuwa Fadlu Davids ni kocha mpya ajaye Simba SC Raia huyo wa Afrika Kusini ni kocha msaidizi wa Raja Casablanca
Back
Top Bottom