eritrea

  1. Mr Chromium

    Mchambuzi anasema Eritrea ina jeshi lenye nguvu kuliko jeshi lolote Afrika Mashariki, ukiitoa Ethiopia

    Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia Nini maoni yako👇🏾 https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
  2. Mla Bata

    Hodi hodii Eritrea, nakuja kutafuta jiko.

    Wasalam, Mla Bata nimeukataa ukware, madunga embe sasa mimi basi, mwajuma, sikujua, waseme, zubeda, tumaini, Mimi na nyie baaaasi, natafuta jiko NIOE wakuu na jiwe langu nataka kulirusha nchini Eritrea, moyo wangu umekufa kwa watoto wa "kunama" na "saho" Wandugu, kama kuna mtu ana uzoefu na...
  3. Crocodiletooth

    Let's go Eritrea!, kwa wakware!

    Eritrea Imefikia hapa!, niliwahi kupita hapa kitambo, hii nchi inawanawake wazuri mno wanaoweza kukusababishia infatuation!
  4. S

    Mazungumzo ya maridhiano duniani kote ni siri. Kuna mtu anafahamu kinachoongelewa kwenye maridhiano ya Eritrea na Ethiopia?

    Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni. Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano? Taarifa hutolewa mwishoni kile walichoafikiana mezani. Uhuru anaongoza mazungumzo kati ya Eritrea na...
  5. JanguKamaJangu

    Eritrea: Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki aachiwa kizuizini baada ya miezi miwili

    Askofu Fikremariam Hagos aliwekwa kizuizini Tangu Oktoba 2022 akiwa pamoja na Padri Abba Mihretab Stefanos huku kukiwa hakuna sababu zilizowekwa wazi na mamlaka juu ya kushikiliwa kwao Kanisa hilo limekuwa likisisitiza kumalizika kwa mfumo wa utawala wa chama kimoja Nchini Eritrea na kuminywa...
Back
Top Bottom