Kumradhi Ndugu yangu.
Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu.
Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara.
Naamini naweza kuwa Maridadi sana kwenye Biashara.
Nahitaji data na mawazo Yako, Ndugu yangu...
I.Tanzania's Coastal Communities: A Crisis and an Opportunity
In Tanzania's sun-drenched coastal havens, where turquoise waters meet pristine shores, a silent struggle for survival unfolds. Over 70% of households grapple with poverty, their livelihoods eroding as the ocean's bounty dwindles...
📚 Books for Learning Skills, Various Businesses, and Entrepreneurship! 📚
At Bright & Genius Editors and Smart-Skills & Entrepreneurs Firm, we have a complete list of unique books for learning various business skills and entrepreneurship.
Reading these books will teach you skills, various...
Asalaam Alaikum!
Binafsi nimeanza kusikiliza Podcasts mwaka 2020 baada ya Mr. Strive Masiyiwa (Bilionea mwenye asili ya Zimbabwe) kuweka mapendekezo ya vitu anavyoshauri wajasiriamali wafanye; kimojawapo ni kuhakikisha unapata taarifa na maarifa kuhusu namna watu wengine wanavyoendesha biashara...
Habari za wakati huu JF Members.
Dhumuni la thread hii ni kutafuta partners wa kushirikiana nao Kuunda team kudevelop ideas na kuzibadili ideas hzo kuwa ajira kwetu na kwa vijana wenzetu.
Nimekuwa nikiwasoma baadhi ya wajasiriamali waliofanikiwa katika ujasiriamali teknolojia, Namna...
Habari ya siku ya leo;
Ni muda mrefu tangu nilipoandika makala yangu ya mwisho katika jukwaa hili ambalo nimelichagua kama sehemu ya mchango wangu kwa jamii yetu.Ninaamini kwamba pamoja na kwamba maandiko na maoni yangu hayana upekee wala ukoo wowote ila kwa kuwa ninatumia rasilimali muda na...
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
Hapa...
History's 10 greatest entrepreneurs
This list of truly entrepreneurs were able to spot markets and opportunities and trends that no one else sees. Their visions, when realized, have the power to change how people live and think and how society develops.
Source: Special to msnbc.com
By Emmanuel...
Kutokana na harakati za uchaguzi na matokeo nafikiri sasa ni wakati wa kuendelea na maisha. Ni lazima tukubali kwamba Tanzania ni kubwa zaidi ya tofauti zetu za kisiasa na kwamba pale tunaposhindwana kwa kutumia mbinu A basi tukae chini tupange mbinu B na tuhakikishe kwamba Tanzania inaendelea...
Do you want to start a Maize Milling Business? Unga wa ugali?
Then get this 85-page guide which contains:
1. Overview
2. The Opportunity
3. The Upcountry Choice – Case Study
Disadvantages
Advantages
4. Case Study -
Disadvantages
The Advantages
5. Target Market
Keys to Success.
6. The...
Kuanzisha na kukuza biashara ni ndoto na malengo ya kila mjasiriamali, lakini mara nyingine ni vigumu sana kupata mawazo ya namna ya kutoka ngazi moja kwenda nyingine. Biashara nyingi ndogo ndogo huwa zinaanzishwa lakini zinakwama, hazikui na pengine zinakufa kabisa. Ndiposa nimefikiri ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.