Mimi sio mpenzi kabisa wa wireless earphones,
Nikanunua original Samsung Type-C earphones 30k powered by AKG kuja kutumia kasauti nilikokutana nako na niliyozoea nikahisi au nimeziharibu? ni fake? sikuwaza sana ila nikaona isiwe tabu, nika order nyingine MADE IN VIETNAM.
Kuja khaaa, ni yale...
Jf tech huwa napata suluhisho. Watu wanajua.
Kwa dar naomba kujua napata wap wireless earphones zenye bass na mchujo mzuri kama au zaidi ya wired earphones.
Najua maduka yamejaa hizo lakin tatizo ni bass kuipata vyema.
pia napenda brands kubwa kama sony, bose, beats etc.
Muundo huo
Moja kwa moja.
Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea.
Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.