Takwimu zinaibeba Yanga, mechi za derby za mwisho alizochezeha Ahmed Arajiga
Mwamuzi Ahmed Arajiga amechezesha michezo minne ya derby kati ya Yanga na Simba, ambapo Yanga wameshinda mechi tatu na moja Simba.
Hizi ni takwimu za matokeo ya michezo aliyochezesha Arajiga:
Yanga 2-1 Simba...
Wakuu
Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani?
Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo?
Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
Mdau mkubwa wa michezo nchini na Mwanachama wa Klabu ya Simba, Mzee Azim Dewji amefunguka kuhusu waamuzi ambao watachezesha Dabi ya Kariakoo.
Wakati huo huo, kamati ya Waamuzi nchini inemtangaza Ahmed Arajiga kuwa ndio mwamuzi wa mchezo wa tarahe 8 pale Dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Derby ya Simba na Yanga ina tamaduni zake, wenzenu wanafukia mbuzi wazima wazima nyie mmekaa tu mnakula viyoyozi.
Nyie kaieni tu mkikenua kenua meno humo maofosini, tarehe 8 mechi tunaitaka, kama kuicheza hii mechi hamuwezi, muwapishe makonki wa Derby.
Ole wenu
Amani iwe kwenu wana MUNGU
Leo nikiwa katika tafakari usiku wa manane
Niliona watu wakiwa uwanjani kukiwa na washangiliaji wengi sana huku team mbili zikicheza moja ilikuwa na jezi nyekundu na moja jezi ya kijani kama majani mabichi kabisa
Wakati mpira huo ukaendelea nilimuona mchezaji mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.