cuba

  1. J

    PICHA: Namna Spika wa Bunge la Cuba anavyofanana na M|Kiti Steven Wassira

    WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.* Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika...
  2. Chifu mkuu

    Wasira afanya mazungumzo na spika wa Cuba

    By Maulid Mmbaga , Nipashe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake. Kwa mujibu wa taarifa ya CCM Wasira amefanya mazungumzo na ujumbe...
  3. Yoda

    Cuba wana kingine kipi cha maana zaidi ya sekta bora ya Afya?

    Kila inapozungumziwa Cuba mara nyingi sifa zake huwa ni mfumo mzuri wa afya tu ulioweza kuzalisha madaktari wengi hadi wa ku export na sekta ya uzalishaji madawa iliyoshamiri. Huwezi kusikia kingine cha kuvutia na kusisumua huko Cuba. Hivi karibuni ndio nilimsikia Balozi Polepole akija na jambo...
  4. Down To Earth

    Waliosoma CUBA a.k.a Legends ndio wataelewa hizi Picha

    Kuna ukweli mkali sana ambao utaeleweka kwa wachache.
  5. The Watchman

    Mliosomea Cuba Hii sanamu ya Mwl. Nyerere iliyozinduliwa huko Cuba inafanana na Mwalimu kweli?

    Uzinduzi huo ulifanyika Novemba 8, 2024 ukishuhudiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ambaye amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Anayansi Camejo na baadhi ya viongozi wengine kutoka mataifa yote...
  6. Mindyou

    Nimelia sana baada ya kuona sanamu jipya la Mwalimu Nyerere nchini Cuba. Waziri Ndumbaro naomba ujitafakari!

    Wakuu, Hivi inakuwaje kila mara hawa viongozi wa serikali wakitaka kuchonga sanamu la baba wa taifa huwa wanakosea? Kuna hili sanamu jipya la Mwalimu Nyerere huko nchini Cuba kiukweli imenishangaza sana kuona Waziri Ndumbaro amelipitisha na kuona kuwa linafaa. Soma pia: Sanamu ya Abraham...
  7. Suley2019

    Rais Samia aahirisha ziara yake ya Cuba

    TAARIFA KWA UMMA KUAHIRISHWA KWA ZIARA YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ILIYOKUWA IFANYIKE NCHINI CUBA Havana, 07 Novemba, 2024 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuutaarifu umma kwamba ziara ya kitaifa ya Mhe. Dkt...
  8. chiembe

    Ziara za Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Cuba, balansi inapatikana wapi?

    Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?! Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
  9. L

    Rais Samia kuisimamisha Dunia kutokea Cuba hapo Kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi...
  10. Ojuolegbha

    Waziri Kombo atembelea maonesho ya kimataifa ya biashara ya Cuba

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo tarehe 05 Novemba, 2024 ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Havana. Maonesho hayo yamewakutanisha wafanyabiashara wa ndani na Kimataifa ambao wanatangaza huduma na bidhaa zao ili...
  11. Ojuolegbha

    Waziri Kombo aongoza kikao cha maandalizi ya ziara ya Rais Samia nchini Cuba

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameongoza kikao cha Ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliowasili Havana, Cuba kwa ajili ya maandalizi ya ziara ya kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini humo...
  12. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kwanza la kiswahili kimataifa litakalofanyika Havana Nchini Cuba kuanzia Tarehe 7 November hadi 10 November. Ambapo kongamano hilo...
  13. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Kuwa Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Nchini Cuba

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kwanza la Kiswahili la Kimataifa litakalofanyika jijini Havana, nchini Cuba, kuanzia Novemba 7 hadi 10, 2024. Kongamano hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na washiriki takriban 600...
  14. Suley2019

    Cuba: Ofisi na Shule zafungwa kutokana na tatizo la Kukatika kwa umeme kwenye Kisiwa hicho

    HAVANA (AP) — A massive outage left millions of Cubans without power and prompted the government Friday to implement emergency measures to slash demand, including suspending classes, shutting down some state-owned workplaces and canceling non-essential services. Cuban officials said that the...
  15. RIGHT MARKER

    Hata makondakta wa daladala wana D2, na kwa hili wamesomea CUBA

    Mhadhara 31: Leo naomba niwajuze abiria wa daladala jambo ambalo makondakta wamesomea CUBA, na jinsi ambavyo wanatumia vizuri D2 za shuleni. 1. Matumizi ya D2: Kumbukumbu walizonazo makondakta (tingo) za kuwakumbuka abiria wote ambao tayari wamewatoza nauli, na abiria ambao bado hawajawatoza...
  16. Kurunzi

    Abdoulquarim Malisa: Sijui nilitaka Kusema Nini (Kama Umesoma Cuba)

    Nakumbuka; Nikiwa mdogo mdogo hivi kuna "BIBI" mmoja alifariki pale kijijini, yule bibi alikuwa anasadikika ni mshirikina "mchawi". Wakati ulipowadia wa kukaribia kufariki, yaani anakaribia kukata roho, alikuwa akiweweseka sana, wale ndugu zake waliokuwa wakimuuguza walimsikia akiongea maneno...
  17. Mkunazi Njiwa

    Balozi Gertrude Mongella: Kilichonivutia Cuba ya Fidel Castro ni Wafungwa Magerezani Kufunguliwa Akaunti ya Fedha za Kujikimu Mwisho wa Vifungo vyao

    Rais wa kwanza wa African Union Committee. Rais wa kwanza wa Pan African Parliament. Balozi wa Tanzania nchini India bibi yetu comrade Gertrude Mongella ameliona hilo huko ughaibuni kwa Fidel Castro ,je kwetu linalishindikana ?!! Tufanyeje ili tuzidi kuboresha hali za wafungwa baada ya...
  18. lee Vladimir cleef

    Sasa tumepata majibu baada ya Urusi kupeleka nyambizi Cuba

    Mimi naamini kua Kwa Sasa Urusi Iko vitani na NATO. Nae USA ni Mkuu wa NATO. Lkn wapo pro NATO wanakuambia hapana Urusi Iko vitani na Ukraine peke yake,NATO haimo,wanaenda mbele Wana sema nchi ndogo TU ya Ukraine Urusi imechukua miaka miwili kuishinda je hii Urusi ndio ya kupigana na NATO...
  19. green rajab

    Marekani nayo yatuma Nyambizi Guantanamo bay Cuba

    Kwa hofu ya kupewa kipigo cha mbwa mwizi Marekani imejitutumua kukwepa aibu na kutuma Nyambizi Guantanamo bay #BREAKING – 🚨🇺🇸⚡The US sends an attack submarine, USS Helena (SSN-725) to Guantanamo Bay, Cuba, while Russian Nuclear-powered submarine Kazan is in Havana.
  20. Sir John Roberts

    Urusi yapeleka Manowari zake za kivita Cuba. Wamarekani wachanganyikiwa

    Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja. Hii ni mara ya kwanza kwa urusi kupeleka meli za kivita kwa kiwango hiki katika nchi ya Cuba. Wakati huo huo rais...
Back
Top Bottom