Nauza chainsaw
Model ni 272
Bei ni Million 1.3
Zipo mbili zote ni mpya
Panga lake ni inch 24
Linakata miti milaini na migumu yote na kupasulia mbao
Bei ya kila moja ni Million 1.
Chainsaw aina ya Newtop inauzwa
Imetumika miezi mitatu,ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote,nililinunua kwa ajili ya kuandaa shamba sasa nimemaliza sina uhitaji nayo tena ndo maana nimeamua kuiuza.
Mashine ni newtop 272 spea zinapatikana bila tatizo kwan zinaingiliana na Hus272...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.