caterpillar

  1. Brojust

    Caterpillar Vs Range: Vijana mliopata pesa na hamna majukumu mengi, wekezeni huku

    Salamu kwenu. Binafsi yangu bado sijanunua gari, ila huko mbeleni nitanunua. Biashara yangu ikiwa imesimana. Nimeona sasahv vijana wengi sana mafanikio yao ni magari ya kifahari na ya kustunt kwa convoy kubwa pale wanapoenda kwenye interview pamoja na showoff nyingine. (haswa wasanii na watu...
  2. Mr Confidential

    Natafuta Caterpillar la kusafisha shamba jipya (pori)

    Wakuu natumai mu-wazima wa afya, Natafuta Caterpillar la kuvunja shamba. Shamba lipo mkoa Pwani (km 160 kutoka Dar). Ningependa kujua gharama ya kukodisha, kusafirisha na kama Kuna gharama zingine
  3. K

    Tunatengeneza na kuuza Hydraulic Seals

    Habari wanajukwaa! Tunayo furaha kubwa kutangaza kuwa TESE sasa inatengeneza Haidroliki Seals zenye ubora wa kimataifa hapa hapa Tanzania kwa ajili ya mitambo na mashine zako Kwa nini uchague hydraulic seals za TESE? 🔹 Ubora wa Kimataifa: Seal zetu zinakidhi viwango vya kimataifa na...
  4. Bexb

    INAUZWA Excavator Caterpillar 320cl inauzwa

    Habari ya jioni wakuu. Nawaletea mtambo huu wa ujenzi unauzwa. Make: Caterpillar Excavator Model: 320 CL Masaa: 14600 Location: Morogoro Bei: 120M Haina shida yoyote ipo tayari kwa ajili ya kazi muda wowote, ukitaka kukagua basi nicheki 0755963775 calls/WhatsApp
  5. Patrolida

    Nahitaji Fundi Mzuri wa Mitambo

    Habari Wakuu, Nina uhitaji wa Fundi mzuri na mwenye uzoefu anayezijulia Hydraulic based machines hasa upande wa Transmission na Engine kwa Grader, Excavator, Compactor n.k 🙏🏽🙏🏽
Back
Top Bottom