Mhadhara - 44:
Mnamo Oktoba 1, 2024 niliwaletea MAMBO 13 YA BUSARA. Leo nawaongezea mambo mengine kumi na nne (14) ya busara ambayo yataongeza au yatalinda heshima, thamani na utu wako. Ikumbukwe kuwa watu pia ni mtaji wa kujipata kimaisha.
MAMBO 14 YA BUSARA:
1. Acha tabia ya kucheuwa ovyo...