Bob Marley alizaliwa tarehe 6 Februari 1945 huko Nine Mile, Saint Ann Parish, Jamaika. Jina lake halisi lilikuwa Robert Nesta Marley. Alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji gitaa maarufu wa muziki wa reggae.
Katika miaka ya 1970, Bob Marley alikuza umaarufu wake kimataifa kwa nyimbo...
Bob Marley Museum ni kivutio cha watalii huko Kingston, Jamaica, kinachotolewa kwa mwanamuziki wa reggae Bob Marley. Jumba la makumbusho liko 56 Hope Road, Kingston, na ni mahali pa makazi ya Bob Marley. Ilikuwa nyumbani kwa lebo ya rekodi ya Tuff Gong ya reggae ambayo ilianzishwa na The Wailers...
Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley.
Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
Ambush In The Night"....Ishapita miaka 45 toka wimbo huu upigwe na kurekodiwa,,,lakini maneno haya bado yanaishi,,,tena kwa hili wimbi la upepo wa kisiasa kwa sasa,,,utamalizia mwenyewe,,,,,,
(Ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!)
See them fighting for power (ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!)
But they know not...
Part of Haile Selassie Speech to United Nations 1963
that until the philosophy which holds one race superior and another inferior is finally and permanently discredited and abandoned;
that until there are no longer first class and second class citizens of any nation;
that until the color of a...
His thumb doomed him, Bob Marley tried to defeat cancer his own way and treated it as if it was a cold.
Marley's final stage started in 1977, he went to the doctor for an injury on his toe and was told he had stage 3 cancer and then he made his first mistake.
He was offered to have his toe...
Redemption song
Zion train
African unite
Stand up
Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa mtu mweusi kwa kiwango kikubwa.
Lakini ukitazama baadhi ya viongozi wetu na ulevi wa madaraka...
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.
Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo...
Na wanaoiweka katika hizi Bidhaa pendwa Siku wakiwaza tu kuiweka pia katika Utamu wa Kibaiolojia wa Mwanamke au Mwanaume hapa ndiyo nitakuwa Teja kabisa kwani Wengine huo Utamu Tukuka wa Kibaiolojia wa Mwanamke ndiyo tunaupenda kuliko hata Klabu ya Simba SC na Tanzania yangu.
Ewe Mwenyezi Mungu...
Bob Marley was once asked if there was a perfect woman. He replies:
Who cares about perfection?
Even the moon is not perfect, it is full of craters.
The sea is incredibly beautiful, but salty and dark in the depths.
The sky is always infinite, but often cloudy.
So, everything that is...
Gwiji wa reggae duniani hayati Robert Nesta Marley (Bob) ni moja kati ya wasanii mashuhuri duniani waliopata kuwa na watoto wengi waliowazaa na wanawake tofauti-tofauti.
Katika maisha yake Bob alijaaliwa kuwa na familia ya watoto 11 aliowazaa na wanawake 7 tofauti huku wawili kati ya hao akiwa...
Mwanamuziki Joseph "Jo Mersa" Marley, ambaye ni mjukuu wa Mwimbaji Mkongwe wa Reggae Hayati Bob Marley amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31, vyombo vya habari vya Marekani viliripoti.
Mwakilishi wa Marley mzaliwa wa Jamaika alithibitisha kifo chake kwa kupitia Jarida la Rolling Stone...
Idon't wanna wait in vain for your love
I don't wanna wait in vain for your love
From the very first time I placed my eyes on you, girl
My heart says follow through
But I know, now, that I'm way down on your line
But the waitin' feel is fine
So don't treat me like a puppet on a string
'Cause I...
Bob Marley dated Pascaline Bongo Ondimba. Pascaline is the daughter of Omar Bongo, the former president of Gabon. Omar ran Gabon as an oppressive dictator and he remained in power until his death in 2009.
Ninasikia Bob hizi extra marital affairs zilikua zake sana, Rita Marley alivumilia mengi...
Good morning, my readers; today I will discuss the life of a legend who once lived in our world and made a difference. I'll also include photographs of this fascinating legend on this page. I'll publish photos of the stone where he used to rest his head, photos of his burial, photos of the house...
I shot the sheriff, but I did not shoot the deputy
I shot the sheriff, but I did not shoot the deputy
All around in my home town
They're trying to track me down
They say they want to bring me in guilty
For the killing of a deputy
For the life of a deputy, but I say
I shot the sheriff, but I...
Refer the heading above
Kama mnavyojua Bob Marley alikuwa na vipaji viwili hit maker(hakuna atakaye kuja kama yeye mpaka yesu arudi) and footballer na watoto wake 12 wameingia kwenye hivyo vipaji viwili nilivyovitaja mfano Rohan Marley mume wa Lauryn Hill wa Fugees alikuwa famous American...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.