Kupanda kwa gharama za uzalishaji kumesababisha kupanda kwa bei ya kifaranga cha kuku kwa Sh300 kutoka Sh1,800 hadi 2,100, hivyo kutishia mustakabali wa wafugaji.
Inaelezwa ongezeko hilo la bei lilianza kushuhudiwa tangu Juni, hali inayowaweka wafugaji katika wakati mgumu kiasi cha baadhi yao...