Mwanamume mmoja wa Uganda anayesadikiwa kupatikana na fuvu za binadamu 24 huenda alikuwa akizitumia kwa ajili ya kafara ya binadamu na anaweza kukabiliwa na kifungo cha maisha gerezani, polisi wameeleza kwa BBC. Msemaji wa polisi, Patrick Onyango, amesema mtuhumiwa huyo, Ddamulira Godfrey...